KIM KARDASHIAN NA MMEWE KANYE WEST WAHITAJI MTOTO WA TATU

Kim Kardashian amesema yeye na mume wake wanataka kupata mtoto wa tatu ila hajathibitisha kuwa wanamtmia mwanamke mwingine kubeba ujauzito wao.
Kim anasema “Mengi yamesemwa ila mimi na Kanye West hatujathibitisha chochote ila ni kweli tunataka mtoto wa tatu”.
Kanye na Kim tayari wana watoto wawili Saint na mtoto wao wa kike North West.

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.