ARSENAL YAITAMBIA TENA CHELSEA


























Klabu ya Arsenal leo August 6, 2017 imefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya kuishinda Chelsea kwa mikwaju ya penalti 4-1 katika mchezo wa Ngao ya Jamnii uliopigwa katika uwanja wa Wembley,

Arsenal imepata ushindi huo baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Chelsea ambao walikuwa wa kwanza kupata bao la kuondoza dakika 46 likifungwa na Victor Moses lakini Arsenal walisawazisha kupitia kwa Sead Kolasinac dakika ya 82.



No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.