PICHA Mpenzi wa zamani wa Nuh Mziwanda aolewa tena


Ex na Mama mtoto wa Nuh Mziwanda ‘Nawal’ ameolewa tena kwa mujibu wa post za IG yake na ya Ex wake Nuh Mziwanda,
Awali palikuwa na ripoti kuwa Nuh Mziwanda amebadilisha tena dini na kuwa Mkristo, amerudi kanisani, na ndoa yake na Nawal imevunjika kutokana na mambo ya kifamilia kati yao.
Hizi picha kutoka kwenye IG Ya Nawal

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.