VIDEO: ALIKIBA AMPINDUA DIAMOND KWENYE KITI CHAKE- Seduce Me
Wimbo huu mpya wa Alikiba umeonekana kuvunja rekodi mtandaoni YouTube kwa kutazamwa na watu wengi hadi hivi sasa una masaa 27 tu na umetazamwa na watu 648,068. Kweli hata Diamond hajawahi fikia hapa.
Tazama VIDEO
Tazama VIDEO
No comments
COMMENT