OMMY DIMPOZ ACHUKUA MAAMZI MAGUMU KUHUSU UGONVI WAKE NA DIAMONND PLATNUMZ

Baada ya kuliamsha dude Jumatano hii na kuanza kuzungumzwa kila kona, Ommy Dimpoz ameamua kusikiliza ushauri kutoka kwa watu mbalimbali.
Msanii huyo ameamua kufuta picha aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram akiwa na Mama yake Diamond, Bi Sandrah na kuandika ujumbe mzito ambao watu wengi wamechukulia ni kama matusi kwa mama huyo na sio adui yake husika ambaye anapambana naye.
Baadhi ya watu walioonekana kukerwa na maneno ya Dimpoz ni meneja wake wa zamani, Mubenga, Nay wa Mitego na wengine.

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.