MAJUMBA KUMI YA MASTAA WA MAREKANI
Top 10 ya nyumba kali za mastaa wa Hip Hop Marekani pamoja na thamani za nyumba hizo kwa mwaka 2016 hii imetolewa na mtandao wa Hot List. Rappers hao ni pamoja na Jay Z, Kanye West, Will Smith, Eminem, Birdman,50 Cent na wengine. Angalia orodha hiyo hapa.
No comments
COMMENT