MASTAA WAPYA KWENYE MOVE YA EMPIRE
Series ya Empire ambayo imekuwa na mashabiki wengi na miongoni mwa show za runinga zinazotazamwa zaidi kwa sasa ulimwenguni, imetangaza ujio wa msimu wa tatu.
Kutakuwepo na sura mpya kwenye msimu huo akiwemo Mariah Carey aliyetangazwa kama msanii wa sita kuonekana kwenye show hiyo.
Hawa ni wasanii wapya watakaoigiza kwenye msimu wa tatu wa Empire.
Birdman
Mariah Carey
Kid Cudi
Taye Diggs
Sierra McClain
French Montana
No comments
COMMENT