YOUNG KILLER AMESEMA ALIONDOKA KWA MWANAGESTA ALIKUWA HANA GARI LAKINI SASA ANA GARI LAKE
Rapa Young Killer ameongelea maendeleo na mabadiliko ya maisha yake baada ya kutengana na lebel ya classic sounds ya Mona Gangster.
Kuhusu kufeli kimaisha baada ya kuondoka kwa Mona Ganster Young Killer anasema ”Labda tu niwatoe wasi wasi hakuna kilicho haribika toka nimeachana na Mona, Kwanza kimaendelea nimeongezeka zaidi, nilikuwa natembea na miguu nilivyokuwa kwa Mona ila sasa Nina gari natembelea mwenyewe , aliniacha kwenye chumba kimoja ila sasa nakaa upande mzima mwenyewe, na vitu vingine naendelea kufanya “.

Young Killer kwa sasa anatafuta meneja wa kusimamia kazi zake na za Matuzo Ziro Unit.
No comments
COMMENT