MAMBO MATATU KWA KAMANDA KOVA KUHUSU MATOKEO BAADHI
Tukiwa bado tunaendelea na Uchaguzi Mkuu kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojitokeza kama kuenea kwa taarifa za kushinda kwa wagombea wa sehemu mbalimbali, sasa kamanda wa polisi wa kanda maalum Dar es Salaam, Suleiman Kova amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na matukio hayo.
‘Jambo tunalolipiga vita ni mtu nje ya tume kutangaza matokeo, hiyo ni dalili kubwa ya fujo. Tume ndio kisheria wamepewa kazi ya kutangaza matokeo‘- KAMANDA KOVA
‘Tunatoa onyo kwa mtu yoyote asivunje sheria hiyo, tuna idadi ya watu zaidi ya 100 tumekwisha wakamata ambao wamekuwa wakirekodi matukio mbalimbali ya uchaguzi kuwasiliana na vyombo vya habari, Huo ni uvunjifu wa amani‘- KAMANDA KOV
No comments
COMMENT