WIMBO MPYA DULLY SYKES UMEANDIKWA NA YAMOTO BAND
“Wimbo unaitwa tuachia na wimbo umeandikwa na Yamoto Band, mpaka sehemu yangu wameandika wao, nimefanya hivyo ilinipate kitu tofauti, hivi ni itu vya kileo, vijana wanafanya vizuri so kwanini nisifanye nao kazi, nikama Micheal Jackson alivyofanya kazi na Akon ”
Ukiacha Yamoto Band, Dully Sykes pia amefanya kazi na Vaness Mdee, Christian Bella na Mzee Yusuf
No comments
COMMENT