RICK ROSS AMTETEA MEEK MILL KUHUSU BIFU LAKE NA DRAKE

ross-breakfast
Rick Ross amefanyiwa mahojiano na kipindi cha “The Breakfast Club” kuhusu beef ya Meek Mill Vs Drake na 50 Cent.
“Hakuna aliyekalishwa na beef hii, ni kitu kizuri kuona mashindano kama haya kwenye hiphop, ”
Rick Ross amewafananisha Drake na Meek Mill kama wadogo zake waliogombania viatu vya Jordans wakuwa shule.
“I think this is what’s good for the culture. Coming up in the game, you will have skirmishes going for the No. 1 spot.”

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.