RIHANA AFUNGUKA JUU YA KURUDIANA NA CHRIS LICHA YA KUPIGWA KIPINDI CHA NYUMA
staa waRnb kutoka Marekani ameng’arisha jarida la Vanity na kupiga picha tofauti ikiWA
ya utupu ambayo iko ndani ya jarida hilo.
Rihanna ameongelea kurudiana na Chris Brown hata baada ya kumpiga na kumjeruhi nakusema ” nilikuwa Rihanna yule wa mwaka 2009, kuna watu wameubwa kuwa na nguvu kuliko wengine kwenye mahusiano, pengine niliumbwa kumudu mambo kama haya siku moja, labda mimi ni malaika kwa mtu fulani, niwepo pale wanapokuwa hawajiwezi, wanaposhindwa kuielewa dunia, wanapohitaji mtu wa kuwapa maelekezi na kuwatia nguvu kwa kuwaambia mambo sahihi ” .
Rihanna anaendelea kusema “nilitegemea kumbadilisha Chris Brown, kwa asilimia mia nilikuwa namtetea sana, nilihisi watu hawakumuelewa baada ya tukio2 .
“mimi na CHris brown sio marafiki ila sio maadui, hatuna mahusiano makubwa sana, mtamjali mpaka siku nakufa ”
No comments
COMMENT