RICK ROSS AMETAJA JINA YA ALBAM YAKE NA ITAKUWA YA MWISHO CHINI YA DEF JAM
Baada ya kutoa mixtape yake ya ‘Black Dollar’ rapa Rick Ross ametangaza jina la album yake mpya ambayo amesema itaitwa Black Market. Rick Ross amesema kwenye interview kuwa album hii ni muendelezo wa mixtape yake.Akiongelea kazi hii Rozay amesema hii ni Project ambayo ni ya Next Level, Hii pia itakuwa album ya mwisho kupitia lebel ya Def Jam na itatoka December 2015.
No comments
COMMENT