IVI NDIVO WALIVYO POKELEWA DIAMOND,VANESSA MDEE NA OMMY DIMPONZI BAADA KUCHUKUA TUZO ZA AFRIMAMA

Tuzo za AFRIMMA ni tuzo ambazo zimeasisiwa na Mnigeria ambaye Marekani yamekua makazi yake kwa muda mrefu tu na tuzo hizi zimekua zikifanyika kwa mara nyingine tena ndani ya ardhi ya Obama na kuhusisha Mastaa mbalimbali wa nchi za Afrika wakiwemoMadj, Producers, video directors na hata Wasanii.
Airport
Airport Dar es salaam.
Mwaka huu 2015 Tanzania imeng’ara kwa kuzichukua tuzo tano kupitia kwa mastaa wake watatu waliokua wanawania ambao ni Vanessa Mdee aliyeshinda tuzo moja, Ommy Dimpoz aliyeshinda moja na Diamond Platnumz aliyeshinda tuzo tatu ambapo baada ya ushindi huo ndio wakarudi nyumbani, tazama hapa chini uwaone baada ya kutua bongo.

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.