RIHANA AMESEMA AKIBAHATIKA KUJA AFRIKA MAGHARIBI ATAFANYA SHOW BURE
Rihanna amehojiwa na jarida la The New York Times Style na kusema akialikwa Afrika Magaribi atafanya show bure kabisa. “Nataka nifanye kitu kwaajili ya watu wa huko, kama ambavyo Bob marley angefanya ‘
Mwaka 2013 Rihanna alifanya show Cape Town, South Africa na mwaka huo alifanya show kwenye Mawazine Festival nchini Morocco. Rihanna hajawahi kufanya show West Africa au East Africa.
No comments
COMMENT