CHEMICAL ASHUTUMIWA KUIBA JINA KWA SISTER P
Leo Soudy Brown kapiga stori na Sister P, Ni kuhusu malalamiko ya jina lake‘Chemical’ kutumiwa na rapper mpyaambaye naye anajiita Chemical .
Amesema alianza kutumia ilo jina tangu mwaka 2003 na alipewa na watu wake wa karibu na ameshalitumia katika baadhi ya ngoma zake na Tshirt zake.
Amesema inabidi wakae na kukubaliana kwa kuwa anaamini mtu hawezi kutumia jina la mtu mwingine bila makubaliano.
Chemical naye kazungumza na kusema hajawahi kusikia Sister P akitumia hilo jina na alianza kumsikiliza tangu akiwa mdogo.
Wasikilize hapa Sister P na Chemical wakizungumza na Soudy Brown
No comments
COMMENT