DAVIDO NA RAFIKI YAKE SIMA WALA SHAVU YA KUIGIZA MUVI

davidoo
Davido na rafiki yake ambaye pia ni msanii Sina Rambo wameigiza kwenye filamu mpya iliyopewa jina ‘John Zerebe’.
Ni filamu ya action na imetayarishwa na Ikey Ojeoguw. Ukiacha kuigiza kwenye hii filamu Davido pia anahusika kwenye kuitayarisha filamu hii na atapata mapato makubwa kutokana na filamu hii.
Trailer iko hapa.

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.