VICTOR MOSES NA SAKHO WAPELEKA MSIBA ETIHAD, WEST HAM YAIGONGA NYUNDO MBILI MAN CITY


Mshambuliaji wa mkopo West Ham, Mnigeria Victor Moses akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu hiyo katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Manchester City usiku wa leo Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la West Ham limefungwa na Diafra Sakho wakati la Man City limefungwa na Kevin De Bruyne 

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.