CHELSEA YAICHARAZA ARSENAL 2-0

Beki wa Chelsea, Zouma akifunga kwa kichwa kuipatia bao la kwanza timu yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal mchana wa leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Eden Hazard

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.