BERAHINO AFUNGA BAO PEKEE WEST BROM YAICHAPA 1-0 ASTON VILLA

Mshambuliaji mwenye asili ya Burundi, Saido Berahino akishangilia baada ya kuifungia bao pekee West Bromwich Albion ikishinda 1-0 ugenini katika mechi ya mahasimu wa Midlands Uwanja wa Villa Park leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.