REAL MADRID YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LA LIGA, YAICHAPA1-0 GRANADA

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (kulia) akinyoosha mguu kuuwahi mpira dhidi ya David Rodriguez Lomban wa Granada katika mchezo wa La Liga usiku huu. Real imeshinda 1-0, bao pekee la Karim Benzema

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.