RATIBA YA RAUNDI YA KOMBE LA LIGI YA TOKA
Jana usiku ilipigwa michezo ya kombe la Capital One ambapo timu za Arsenal, Liverpool, Chelsea, Southampton, Crystal Palace, Sheffield United, Norwich Cioty, na Manchester United zilifanikiwa kusonga mbele kwenye raundi inayofuata (raundi ya nne).
Baada mechi hizo kumalizika, imetoka ratiba mpya ya mechi za raundi ya nne kama ratiba inavyoonekana hapa chini.
No comments
COMMENT