ZAIDI YA VIBANDA 2000 JIJINI MBEYA VYATEKETEA KWA MOTO

Zaidi vibanda 2000 Katiba ya vibanda 3600 vilivyopo katika soko la biashara la Sido mjini Mbeya vyateketea kwa moto na mali zote zilizokuwemo zilizokuwepo kwenye vibanda hivyo zimeungua
Katibu wa Soko hilo Lameck Ngogo amemuambia mwandishi wa habari wa TBC 1 kuwa moto huo umeteketeza vibanda vyote vilivyokuwa vimejengwa kwa mbao na kusababisha hasara kubwa.
“Hapa mahali palikuwa ni maduka kama unavyoona zote zimeteketea na hapa palikuwa na stoo kama unavyoona huyu jirani yangu, lakini mpaka saivi hatuna la kusema,” alisema mmoja ya wafanyabiashara wa soko hilo.
“Soko la Sido linawafanyakazi 3136 vibandavilivyopona ni vya kontena vibanda 2000 na kitu vyote vimeteketea kwa moto na mali zote zimeungua hatuwezi kutoa tathmini kuwa ni mali za kiasi gani zimepotea lakini yule aliyefanikiwa kuokoa mali asilimia 60 zilikuwa zinapotea na vibaka,”

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.