USHER RAYMOND HATAKI MCHEZO KWENYE SUALA LA PESA ASEMA HAWEZI MLIPA MTU

Staa wa RnB Usher amesema hana mpango wa kumlipa mtu yoyote aliyefungua kesi dhidi yake akidai amemuambukiza gonjwa la ngono linaloacha alama na vidonda ‘HERPES’.
Watu wa karibu na Usher wamethibitisha kuwa staa huyu amekataa kukutana na mtu yoyote ili kuongelea jambo hili na hana mpango wa kulipa mtu.
Wanawake watatu na mwanaume mmoja mpaka sasa wamejitokeza wakidai kuambukizwa gonjwa la ngono na Usher Raymond

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.