LIVERPOOL YASHINDA UGENINI KWENYE MICHUANO YA KUFUZU KOMBE LA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Majogoo wa London klabu ya Liverpool walisafiri hadi nchini Ujerumani kukipiga dhidi ya Hoffeinheim katika mchezo kwa ajili ya kufudhu michuano ya Champions League.
Liverpool waliibuka kidedea kwa ushindi wa mabao mawuli kwa sifuri huku mabao ya Liverpool yakiwekwa kimiani na Alexandre Arnold dakika ya 35 na James Milner dakika ya 74 huku la Hoffeinheim likifungwa na Mark Uth dakika ya 87.
Michezo mingine Sporting Cp ya nchini Ureno walitoka suluhu ya bila kufungana na FC FCSB, CSKA Moscow nao wakatoka sare ya bila kifungana na Young Boys.
Apoel Nicosia nao wakiwa katika dimba la nyumbani la GSP Stadium walishinda mabao mawili kwa sifuri dhidi ya Slavia Prague huku Quarabah Fc wakiibuka na ushindi wa bao moja kwa nunge dhidi ya Koebenhavn Fc.
No comments
COMMENT