DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU WATU KUPAGAWA NA NYOTA YAKE
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amezungumzia nguvu ya NYOTA yake na jinsi watu flani wakubwa wanavyochoshwa nayo.
Kupitia IG yake Diamond ametoa gongo Hili “Ka diamondi kenyewe basi, kadogodogooo tokea Tandale… sema kanavyo washuhurisha watu na Midevu yao… Hii nyota yangu sjui itakuwa jina lake linaitwaje….. #ZILIPENDWA“
Kwa sasa Diamond na kundi lake la Wasafi wana HIT na rekodi yao mpya Zilipendwa amabyo InTrend Nchini Kenya ikiwa imetazamwa na watu zaidi ya Milioni 1 na laki mbili.
No comments
COMMENT