WAYNE ROONEY KUIKOSA CHELSEA LEO
Nahodha wa
Manchester United Wayne Rooney ameondolewa katika kikosi
kitakachomenyana na Chelsea katika hatua ya robo fainali kombe la FA
itakayopigwa leo hii.
Washambuliaji Anthony Martial na Marcus Rashford nao pia watakosa mchezo huo kwa kuwa ni wagonjwa.
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anasema wachezaji wa kikosi chake wote ni wazima.
Manchester united hawatakuwa na mshambuliaji wa kikosi cha kwanza le
No comments
COMMENT