WEMA SEPETU AANDIKA UJUMBE HUU KWA MTOTOWA DIAMOND


Leo August 6, 2016 ni siku aliyozaliwa mtoto wa staa wa bongo fleva Diamond Platnumz ambapo watu wengi wamemtakiwa mtoto huyu kila la kheri kwenye Birthday yakebongo movie staa aliyewahi kuwa na mahusiano na Diamond ‘Wema Sepetu‘ hakuwa nyuma kwenye salamu za heri ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto huyu,
Wema Sepetu aliandika hivi instagram>>> Happy Birthday Princess Tee…???????????????????????? May Allah bless your precious lil self… You will definitely turn out to be a phenomenal young woman 
wema 12

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.