MASHABIKI 42 WAJERUHIWA KWENYE SHOWA YA SNOOP DOGG
Mashabiki 42 wamejeruhiwa kwenye show ya Snoop Dogg na Wiz Khalifa huko Camden, New Jersey.
Ajali hiyo ilitokea baada ya uzio unaotengenisha stage na mashabiki kuanguka na kuwafanya watu wa mbele waangukiane.
Kwa mujibu wa Philadelphia Inquirer, watu hao walioumiwa wanatibiwa kwa majereha madogo. Wawili hao wapo kwenye ziara ya pamoja waliyoipa jina Merry Jane Presents Snoop Dogg & Wiz Khalifa: The High Road Tour
No comments
COMMENT