Baada ya kushinda tuzo ua msanii bora wa kike Afrika mashariki, Vanessa Mdee ametoa video yake mpya ya ‘Never Ever’. Video imetayarishwa na Justin Campos wa Afrika kusini na wimbo umetayarishwa na Nahreel.
No comments
COMMENT