Rapa 50 Cent anadhidi kuonyesha dunia kuwa amefilisika kabisa baada ya kuweka sokoni jumba lake la kifahari lililopo Connecticut nchini Marekani.
Jumba lina vyumba 21, mabafu 25 na linauzwa dola milioni 8.5. Mwaka 2007 alipanga kuuza nyumba hio na ilikuwa dola milioni 18.5 ila soko limebadilika.
No comments
COMMENT