VIDEO 5 KARI KWENYE URBAN TRACE ZOTE ZIKO HAPA
Trace TV ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha sasa, usiku wa Octoba 22, 2015 kilitoa list ya video za nyimbo bora za Urban ambazo kwenye hii countdown zipo 5.
5.Tekno – Duro
4.Justin Bieber – What do you mean
3.Dj Shabsy – Raba ft Kiss Daniel & Sugarboy
2.R City – Locked away ft Adam Levine
1.Harrysong – Reggae Blues ft Olamide, Iyanya, Kcee, Orezi
No comments
COMMENT