ORODHA YA WACHEZAJI WATAKAO WANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA YA TOKA MESSI NA RONALDO BADO WANAWANIA
Cristiano Ronaldo amerudi tena kwenye list ya Wachezaji 23 waliotajwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Soka Duniani, Ballon d’Or ambayo itatolewa January 11 2016 Jijini Zurich, Switzerland.
Ni ndani ya Jiji hilohilo Zurich, January 12 2015 ilishuhudiwa mkali wa soka toka Ureno ambaye anachezea Kikosi cha Real Madrid, Cristiano Ronaldo alikabidhiwa Tuzo yake ya Ballon d’Or kama Mchezaji Bora wa soka mwaka 2014.
Tayari list ya wakali wote wa 2015 wanaowania Tuzo hizo kubwa Duniani imetajwa, majibu ya nani mkali yatapatikana January 2016.
Sergio Aguero (Argentina/Manchester City)
Gareth Bale (Wales/Real Madrid)
Karim Benzema (France/Real Madrid)
Cristiano Ronaldo (Portugal/Real Madrid)
Kevin De Bruyne (Belgium/Manchester City)
Eden Hazard (Belgium/Chelsea)
Zlatan Ibrahimovic (Sweden/Paris Saint-Germain)
Andres Iniesta (Spain/Barcelona)
Toni Kroos (Germany/Real Madrid)
Robert Lewandowski (Poland/Bayern Munich)
Javier Mascherano (Argentina/Barcelona)
Lionel Messi (Argentina/Barcelona)
Thomas Mueller (Germany/Bayern Munich)
Manuel Neuer (Germany/Bayern Munich)
Neymar (Brazil/Barcelona)
Paul Pogba (France/Juventus)
Ivan Rakitic (Croatia/Barcelona)
Arjen Robben (Netherlands/Bayern Munich)
James Rodríguez (Colombia/Real Madrid)
Alexis Sanchez (Chile/Arsenal)
Luis Suarez (Uruguay/FC Barcelona)
Yaya Toure (Ivory Coast/Manchester City)
Arturo Vidal (Chile/Bayern Munic
No comments
COMMENT