IGGY AZALEA ARUDI NA ALBUM MPYA
Msanii kutoka kwenye lebo ya T.I, Hustle Gang, Iggy Azalea amerudi tena kuziteka headlines kwenye kurasa za burudani… staa huyo mwenye asili ya Australiaametangaza kupitia page yake ya Twitter kuwa anarudi kwenye chati na album mpya alioipa jina ‘Digital Distortion’
No comments
COMMENT