HII NI BONGE MOJA YA VIDEO MPYA YA WILL SMITH BAADA YA KUPOTEA KWENYE GAME YA MUSIC

Mwanzoni wa mwezi huu Will Smith aliweka headlines na ujio wa wimbo wake wa kwanza wa HipHop “Fiesta” baada ya kupotea kwa miaka 10 kwenye kurasa za muziki wa HipHop Marekani… kama wewe ni miongoni wa mashabiki wa Will Smith basi hii good news ikufikie, official video ya “Fiesta” ipo hewani tayari!
BIG WILL2
Will Smith ambaye pia amesharekodi karibia nyimbo 30 ana mpango wa kufanya world tour mwakani na DJ Jazzy Jeff… kama hujabahatika kukutana na video mpya ya Willmpaka sasa basi karibu uitazame hapa chini.

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.