FUTURE AACHIA VIDEO YAKE MPYA

 video mpya ya Future ‘Where Ya At’ feat Drake  ya dondoka mzigoni

Siku chache zilizopita  video mpya ya Future ‘Where Ya At‘ aliomshirikisha rapper ,mkongwe maarufu  kama Drake imeshatoka  rasmi. Lakini baada ya video hiyo kutoka na kupokelewa vizuri na mashabaiki, Future kasema bora aendelee kutupania  burudanikari na yakutosha

Rapper huyo karudi tena wiki hii kuweka headlines zake kwenye kurasa za burudani,baada ya kuachia video yake mpya

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.