- Ngoma mpya ya French Montana imekupita? ‘To Each His Own’ imenifikia karibu sana
-
Imepita muda kidogo toka French Montana adondonshe mixtape yake ‘Casino Life 2: Brown Bag Legend ‘ lakini good news ni kwamba msanii huyu wa Hip Hop bado ana vitu vizuri kwa ajili yako
Baada ya collabo yake na msanii mkongwe wa R&B Mariah Carey, French Montana amerudi kuziweka headlines zake kwenye ukurasa wa hiphop na time hii ameileta hii mpya kabisa aliyoipa jina ‘To Each His Own’ ngoma inayotoka kwenye mixtape yake mpya
No comments
COMMENT