MZEE BUTIKU AMPA NENO RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwl Julius Nyerere na amemuasa kusikiliza maneno mazuri yanayozungumzwa nje na ndani ya nchi huku akimsisitiza kutosikiliza maneno ya ovyo.
No comments
COMMENT