WANANCHI WAVAMIA MSAFARA WA RAIS MAGUFULI TANGA
Katika ziara ya Dr. John P Magufuli kuelekea jijini Tanga hali ilibadilika baada ya wananchi wenye mapenzi na kiongozi wao kushindwa kuvumilia na kuamua kuzui;ia msafara huo ili kusudi tu Rais asimame kuwapa hata salam tu.
#DbashHeadlinesBlog
Rais nae hakuwa na kinyongo aliamua kukatisha safari yake kwa mda mchache na kuwasalimia wananchi pia akawaachia neno lililowaacha na furaha zaid.
Tazama VIDEO ya tukio HAPA
#DbashHeadlinesBlog
No comments
COMMENT