VIDEO:ALIKIBA ADAI KUMKUBALI DIAMOND PLATNUMZ
Msanii anaetamba na wimbo wake #Seduce_Me na kuvunja record Africa kwa ujumla, Alikiba a.k.a Kipusa amesema kuwa yeye hamchukii Diamond kwa sababu hana kigezo cha kumchukia. Na pia amemalizia kwa kusema anapenda sana kuusikiliza wimbo wa msanii huyo "I MISS YOU"
TAZAMA VIDEO
TAZAMA VIDEO
No comments
COMMENT