PICHA: Rais J P Magufuli apokelewa kwa shangwe na wananchi pamoja na uongozi wa mkoa wa Tanga.

Rais J P Magufuli jinsi alivyopokelewa kwa furaha tele na wananchi wa jiji la Tanga
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga pamoja na maelfu ya wananchi wa Mkata wakati akiwasili mkoani Tanga. Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi aliposimama eneo la Komkonga. Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukisimamishwa na maelfu ya wananchi kila alipopita. Wenyeji kwa wageni wakifurahia ujio wa Rais Magufuli. Rais Magufuli akiongea na wananchi eneo la Hale Wananchi wenye furaha wakimsikiliza Rais Maguful
























#DbashHeadlinesBlog

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.