DJ KHALED ATANGAZA UJIO MPYA WA ALBUM YA RICK ROSS ;PORT OF MIAMI 2 BORN 2 KILL
Baada ya miaka 11, Rapa Rick Ross yuko tayari kutoa album ya pili ya muendelezo wa album yake ya kwanza iliyopewa jina Port of Miami,
Kwa mujibu wa DJ Khaled tayari Rick Ross ameanza kufanya naye kazi kwenye album hii mpya ya Port of Miami 2: Born to Kill
Album ya mwisho ya Rick Ross ilikuwa Rather You Than Me, ya mwaka 2017 na sasa tayari amerudi studio kutayarisha muziki mpya kwenye hii cd mpya.
No comments
COMMENT