Picha:AMBER ROSE ATAMBULISHA BIDHAA ZAKE MPYA "Viatu"
Video model maarufu na Ex wa Wiz Khalifa, Amber Rose ametambulisha bidhaa yake ya viatu sokoni.
Kwa ushirikiano mkubwa na kampuni ya viatu ya Reebok, Amber Rose ametambuisha Viatu hivi vinavyoitwa ‘MUVA FUKA’.
No comments
COMMENT