URUSI YAENDELEZA KUSHUTUMIWA NA SUALA LAKUTUMIA MADAWA YA KUSISIMUA MADAWA

Image copyrightAP
Urusi imekuwa ikiendesha zoezi la kubaini uwepo wa matumizi ya dawa za kusisimua misuli kwa wanamichezo wake ikiwa ni mpango uliodumu kwa muda wa miaka minne kabla ya msimu wa mashindano ya Olimpiki kutoa taarifa yake mpya.
Mpango huo ulipangwa kufanyika tangu mwishoni mwa mwaka 2011 - ikiwa ni pamoja na maandalizi ya London 2012 hadi mwaka 2014 katika michezo ya Olimpiki hadi mwezi Agosti mwaka 2015.
Uchunguzi uliofanywa na Wakala wa dawa za kusisimua misuli Ulimwenguni ( WADA) imeitaka Urusi kupitia wiziri wake wa Michezo kusimamia kwa kuchunguza suala hilo la matumizi ya dawa hizo kwa kuchukua sampuli ya haja ndogo (mkojo) kwa wanariadha wake.
IOC watatoa maamuzi leo Jumanne juu ya matokeo ya vipimo kabla ya Michuano ya Olimpiki, ambayo inatarajia kuanza tarehe 5 Agosti mjini Rio Brazil.

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.