SHAMBA LA BANGI LA TEKETEZWA NA ASKARI POLISI MKOA WA MARA

Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Tarime mkoani Mara imeendesha oparesheni kali na kufanikiwa kukamata mashamba makubwa ya zao la bangi ikiwemo bangi kavu ambayo tayari imeandaliwa kwa ajili ya kusafirishwa kwenda nchi jirani kwa ajili ya kuuzwa.

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.