MAN U WAPO TAAYRI KUTOA EURO 70 MILIION KWAAJILI YA AUBAMEYANG


Sio swala ubishi kwamba club nyingi zinahitaji servise ya Aubameyang kutokana na uwezo ambao anaonyesha kwenye club yake ya Borussia. Kuna club kama Real MAdrid ambazo zinatabia ya kutaka kusajili mastaa nao wanahusishwa sana juu ya kumsajili Aubameyang.
Sasa habari mpya ni kwamba Manchester United wameshatenga kiasi cha £70million kwa ajili ya kumsajili Aubameyang. Mchezaji huyu wa Gabon pia inaripotiwa anavutiwa na ofa ya kwenda United ambapo kuna nafasi kubwa ya kukuza jina lake kwenye upande wa kibiashara pale jina lake linapohusishwa na brand yenye mashabiki wengi duniani.
Arsenal nao pia imeripotiwa kuwa wanamuhitaji mchezaji huyu lakini haitegemewi kama watashindana na Manchester kutokana na dau la £70million na policy za Arsenal kwenye matumizi ya pesa za usajili.
Muda wa summer ukifika harakati hizi zitafanyika japokua Manchester United chini ya bwana Woodward wametumia zaidi ya £250million kusajili wachezaji na wakilipa pesa nyingi kwa Angel Di Maria, Falcao na wote wameshindwa kusaidia club.

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.