UTABILI WA TB JOSHUA LOWASA KUWA RAIS UMEKWAMA JE NGUVU ZA MUNGU ZINAWEZA KUSHINDWA NA BINADAMU
Naleta kwenu msaswali machache ili mpate kunisaidia. Katika tabiri nyingi zilizopata kutabiriwa ndani ya vitabu vitakatifu kama BIBLIA na vinginevyo zimekuwa zikitimia pasipi shaka.
Siku za nyuma kidogo huyu nabii anaye itwa TB Joshua Kutoka Nigeria alimtabiria mheshikiwa Edward kuwa ndiye raisi ajaye sasa kila mtu anajua kilicho tokea ni kitugani muda mfupi ulio pita.
SASA NAULIZA HIVI, JE BINADAMU ANAYO MAMLAKA AU NGUVU YOYOTE KATIKA KUBATILISHA KILE KINACHO TAJWA KUWA NI UTABIRI AMBAO UNABARAKA ZOTE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU? KAMA NDIO KUNA HAJA YOYOTE YA KUTEGEMEA TABIRI KWA HAWA WANAO JIITA WATUMISHI WA MUNGU?
Hongereni mnao shangilia ushindi na poleni kwa wale ambao hamkuridhishwa na zoezi lilivyo kuwa.

No comments
COMMENT