THE GAME AMPA ZAWADI YA FERRARI DIDDY
Diddy amepokea zawadi kubwa kutoka kawa rapa The Game wiki hii.
Rapa The Game aliyekuwa Dubai akifanya show amesema alilipwa zaidi ya dola 250,000 na wakati anafanya shopping alimkumbuka mtu aliyekuwa naye kabla hajapata dili la kurekodi na producer Dr Dre.
The Game anasema kabla hajawa na Dr Dre alikuwa karibu na Pdd na alivyomuomba ushauri kuhusu Dre alimshauri afanye naye kazi. Kuonyesha shukrani yangu kwa Puff Daddy numemnunulia Ferrari.
No comments
COMMENT