MZIGO MPYA WA WALE UMESHATOKA RASMI
Msanii kutoka kwenye lebo ya Maybach Music Group (MMG), Wale anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani, baada ya kuzindua nyimbo nne kwenye kipindi cha The Breakfast Club kwenye radio ya Power 105.1, Marekani msanii huyo ameamua aisogeze kwetu video ya moja kati ya nyimbo hizo nne.
Wimbo unaitwa “Know Me” na ndani ameshirikishwa Skeme… Kama bado video hiyo haijakufikia basi feel free kuicheki video hiyo hapa chini mtu wangu.
No comments
COMMENT