MTV YATANGAZA MAJINA YA MA Mc WAKALI KWA MWAKA 2014 NA KUPATA MAJINA 10

Mc
Kituo kikubwa cha muziki Afrika cha MTV Base kimetingisha hiphop baada ya kutoa orodha yao ya Ma Mc wakali zaidi wa mwaka 2014.
Uchambuzi ulifanywa na Vj wa MTV Base VJ Sizwe Dhlomo na dj na watangazaji wengine wakubwa South Africa.
MTV Base presents The Hottest MCs of 2014:
1. K.O
2. Cassper Nyovest
3. AKA
4. Khuli Chana
5. Riky Rick
6. Reason
7. Kid X
8. Da Les
9. Kwesta
10. Maggz

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.